Glas JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 1,242 Reaction score 1,188 Mar 9, 2023 #1 Habar wadau, Kama heading ilivyo, nipo Mwanza kikazi kwa siku 3. So naomba wazoefu wanisaidie kiwanja kizuri naweza enda kula bata na kuona watoto wazuri. Asanteni sana.
Habar wadau, Kama heading ilivyo, nipo Mwanza kikazi kwa siku 3. So naomba wazoefu wanisaidie kiwanja kizuri naweza enda kula bata na kuona watoto wazuri. Asanteni sana.
Nakadori JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,779 Reaction score 21,048 Mar 9, 2023 #2 Glas said: Habar wadau.Kama heading ilivyo nipo mwanza kikazi kwa siku 3. So naomba wazoef wanisaidie Kiwanis kizur naeza enda kula bata na kuona watoto wazuri. Asanteni sana Click to expand... Kwa Tunza Bonasera Malaika Kask sjui kaksi (hapo rocky city mall)
Glas said: Habar wadau.Kama heading ilivyo nipo mwanza kikazi kwa siku 3. So naomba wazoef wanisaidie Kiwanis kizur naeza enda kula bata na kuona watoto wazuri. Asanteni sana Click to expand... Kwa Tunza Bonasera Malaika Kask sjui kaksi (hapo rocky city mall)
Nakadori JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,779 Reaction score 21,048 Mar 9, 2023 #3 Malaika pia kama mfuko uko poa
Glas JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 1,242 Reaction score 1,188 Mar 9, 2023 Thread starter #4 Nakadori said: Malaika pia kama mfuko uko poa Click to expand... Malaika ndo kule njia ya airport?
Nakadori JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,779 Reaction score 21,048 Mar 9, 2023 #5 Glas said: Malaika ndo kule njia ya airport? Click to expand... Malaika, na kwa tunza huwa ziko karibu...kote ni njia ya airport
Glas said: Malaika ndo kule njia ya airport? Click to expand... Malaika, na kwa tunza huwa ziko karibu...kote ni njia ya airport
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,011 Reaction score 14,334 Mar 9, 2023 #6 Nakadori said: kwa tunza bonasera malaika kask sjui kaksi (hapo rocky city mall) Click to expand... kama vipi uka m join
Nakadori said: kwa tunza bonasera malaika kask sjui kaksi (hapo rocky city mall) Click to expand... kama vipi uka m join
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,509 Reaction score 88,671 Mar 9, 2023 #7 Nakadori said: kwa tunza bonasera malaika kask sjui kaksi (hapo rocky city mall) Click to expand... Ningeshangaa kutokuona hapa. Maana unavyoisifia mwanz
Nakadori said: kwa tunza bonasera malaika kask sjui kaksi (hapo rocky city mall) Click to expand... Ningeshangaa kutokuona hapa. Maana unavyoisifia mwanz
Nakadori JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,779 Reaction score 21,048 Mar 9, 2023 #8 mzabzab said: Ningeshangaa kutokuona hapa. Maana unavyoisifia mwanz Click to expand... hahaha tulia kwanza ila hii signature yako meipenda when poverty enters through the door love escapes through the window!!!!!
mzabzab said: Ningeshangaa kutokuona hapa. Maana unavyoisifia mwanz Click to expand... hahaha tulia kwanza ila hii signature yako meipenda when poverty enters through the door love escapes through the window!!!!!
Nakadori JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,779 Reaction score 21,048 Mar 9, 2023 #9 Mtukutu wa Nyaigela said: kama vipi uka m join Click to expand... aka huwa nasafiri kwa ratiba na kwa hela yangu
Mtukutu wa Nyaigela said: kama vipi uka m join Click to expand... aka huwa nasafiri kwa ratiba na kwa hela yangu
Mr Pixel3a JF-Expert Member Joined Sep 15, 2021 Posts 6,978 Reaction score 10,368 Mar 9, 2023 #10 Glas said: Habar wadau, Kama heading ilivyo, nipo Mwanza kikazi kwa siku 3. So naomba wazoefu wanisaidie kiwanja kizuri naweza enda kula bata na kuona watoto wazuri. Asanteni sana. Click to expand... Utakuja uandike uzi kuwa haukufanikiwa ujananiš
Glas said: Habar wadau, Kama heading ilivyo, nipo Mwanza kikazi kwa siku 3. So naomba wazoefu wanisaidie kiwanja kizuri naweza enda kula bata na kuona watoto wazuri. Asanteni sana. Click to expand... Utakuja uandike uzi kuwa haukufanikiwa ujananiš
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 45,509 Reaction score 88,671 Mar 9, 2023 #11 Nakadori said: hahaha tulia kwanza ila hii signature yako meipenda when poverty enters through the door love escapes through the window!!!!! Click to expand... Ndio ukweli umaskini hadui wa mapenzi
Nakadori said: hahaha tulia kwanza ila hii signature yako meipenda when poverty enters through the door love escapes through the window!!!!! Click to expand... Ndio ukweli umaskini hadui wa mapenzi
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,011 Reaction score 14,334 Mar 9, 2023 #12 Nakadori said: aka huwa nasafiri kwa ratiba na kwa hela yangu Click to expand... mi nakupa ofa
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,011 Reaction score 14,334 Mar 9, 2023 #13 Mr Pixel3a said: Utakuja uandike uzi kuwa haukufanikiwa ujananiš Click to expand... unataka asisafiri kikazi au akisafiri ajifiche? acha ukuda mkuu
Mr Pixel3a said: Utakuja uandike uzi kuwa haukufanikiwa ujananiš Click to expand... unataka asisafiri kikazi au akisafiri ajifiche? acha ukuda mkuu
Nakadori JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,779 Reaction score 21,048 Mar 9, 2023 #14 Mtukutu wa Nyaigela said: mi nakupa ofa Click to expand... we mwenyewe unajiita mtukutu hahaha ukinifanyia utukutu??
Mtukutu wa Nyaigela said: mi nakupa ofa Click to expand... we mwenyewe unajiita mtukutu hahaha ukinifanyia utukutu??
Mtukutu wa Nyaigela JF-Expert Member Joined Sep 4, 2018 Posts 8,011 Reaction score 14,334 Mar 9, 2023 #15 Nakadori said: we mwenyewe unajiita mtukutu hahaha ukinifanyia utukutu?? Click to expand... usihofu bby jina tu hilo
Nakadori said: we mwenyewe unajiita mtukutu hahaha ukinifanyia utukutu?? Click to expand... usihofu bby jina tu hilo
Hemedy Jr Junior JF-Expert Member Joined Feb 17, 2023 Posts 918 Reaction score 1,099 Mar 9, 2023 #16 Ziwa Victoria wapo wengi
Nakadori JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,779 Reaction score 21,048 Mar 9, 2023 #17 Mtukutu wa Nyaigela said: usihofu bby jina tu hilo Click to expand... naliogopa
Glas JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 1,242 Reaction score 1,188 Mar 9, 2023 Thread starter #18 Hemedy jr Junior said: Ziwa Victoria wapo wengi Click to expand... Unamaansha nn hapo