Natafuta sehem ya kuweka kibanda cha bishara

Natafuta sehem ya kuweka kibanda cha bishara

nirahbee

Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
6
Reaction score
3
Habarini wapendwa,natafuta sehem ambayo naweza lipia kwa kuweka kibanda changu cha biashara,lakini liwe eneo lenye watu na lenye biashara na liwe dar es salaam ! Nitashukuru,mwenye idea pls contact me !


Sent using Jamii Forums mobile app
 
banda lako lina ukubwa gani. wewe upo maeneo gani
Nipo kinondoni,banda nataka nitengeneze size ya yale makontena(trela) la 20futi sijui sentimita lol..! Yah ila ukubwa kama huo yani.!
 
Back
Top Bottom