Nimemaliza Ifm Barchelor ya banking and finance naningependa sana niendelee masomo yangu ya masters nchi za nje hasa masomo yanayohusu masoko (marketing) ila nahitaji sana scholaeship kwani sijiwez kifedha. naomba msaada wenu na ideas