Natafuta Scania bus

Chukua hata bus ya Man Diesel kama zile za Classic Coach. Wakala wao yupo Tabata anaitwa Mobikey Truck and Bus.

Man inafanya vizuri kwa mazingira yetu ya Africa hata body zao wanatengeneza kwa ajili ya nchi zetu. Hata kwa speed na nguvu engine ya Man inafanya vyema sawia na Scania au Benz. Bus za kichina zitakusubiri sana kwa ubora na speed.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…