KAKA KUNA BUS INAUZWA NI SCANIA - NI YA JAMAA ANAITWA SIMIYU EXPRESS INATOKA DAR MPK BARIADI FANYA KUMCHEKNimepambana sana kupata wauzaji wa scania bus lakini nagonga mwamba, haswa ni kutokana na wauzaji wengi kuuza bus ama chasis zisizosupport system na miundo mbinu yetu, ikiwa system yetu ni left driving inayoihitaji bus iwe right wheel na pia bus asilimia kubwa ni engine nyuma.
Any assistance nitafanikiwa vipi kwa hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia ukinunua bus used hupati kibali cha SUMATRA kupiga ruti za mkoa.
KAKA KUNA BUS INAUZWA NI SCANIA - NI YA JAMAA ANAITWA SIMIYU EXPRESS INATOKA DAR MPK BARIADI FANYA KUMCHEK
Sent using i phone x
Mkuu ukishalipata Bus mimi nipo tayari kuwa Conductor ama mkatisha tiketi wa kampuni yako.Naifahamu ile, namba DD, msaada iama unafahamu endapo nitapata agents wa mpya au used ambazo hazijatumika tz
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ungeenda Pale Scania Tanzania- Vingunguti kama unahitaji mpya. Au Dar Body Coach na Quality Group.Nimepambana sana kupata wauzaji wa scania bus lakini nagonga mwamba, haswa ni kutokana na wauzaji wengi kuuza bus ama chasis zisizosupport system na miundo mbinu yetu, ikiwa system yetu ni left driving inayoihitaji bus iwe right wheel na pia bus asilimia kubwa ni engine nyuma.
Any assistance nitafanikiwa vipi kwa hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ungeenda Pale Scania Tanzania- Vingunguti kama unahitaji mpya. Au Dar Body Coach na Quality Group.
Ukiwafata pale ofisini kwao itakuwa vizuri.Shukrani kwa ushauri, itabidi nijaribu kusogea jini daslam, maana scania nimejaribu kuwacheck hawajibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia unaweza ukawacheki hata mtandaoni wale Body Builders wa Kenya kama Master body, Rello na Malva. Hawa wanakuchongea body ya bus yenye chesisi ya Scania na engine yake.
Unaweza ukaagiza kutoka South Africa inakuja na Body kama ya zile Ottawa au Nganga.
Shukrani kwa ushauri, itabidi nijaribu kusogea jini daslam, maana scania nimejaribu kuwacheck hawajibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia wanazo za engine mbele, na kama ukipata ya engine nyuma kwa bei nafuu chukua inafanyiwa modification na kuwekwa mbele.
agent wa mabus ya scania ni huyu jamaa 0652472486 mcheki
Sent from my iPhone using JamiiForums
Pia wanazo za engine mbele, na kama ukipata ya engine nyuma kwa bei nafuu chukua inafanyiwa modification na kuwekwa mbele.
Watanzania wengi bado sana kwenye matumizi ya emails, unakuta kampuni ina email adress kwenye website yao ila ukiwaandikia ni wachache sana ndio huwa wanajibu
Alexander