sarafu ya sh.20 ilitolewa na benk kuu ya mwaka 1961-1981 not otherwise na mimi ninazo izo uyo atakaekwambia ya mwaka tofauti na huu nilokupa kaa chonjo!
mi nna anko anaduka la rejareja tangu miaka mingi sana anazo zimesalia kwenye box la chenchi so kama ni dili na unazihitaji tangaza dau nikupe zakutosha