Natafuta Samsung J7 Pro

Imenyooka? Haina crack?haina ubovu wowote? Naipataje? Nipo Arusha!
imenyoooka haina ubovu wowote..kama una Mtu unae mfahamu alie huku DAR niunganishe nae aje Akague.

Arusha uhakika inafika,uaminifu tu.

Jiridhishe kwanza kwa kumtuma Mtu aje aikague kama utakua na wasi wasi na maneno yangu.
 
Nnaweza kukuamini! Sasa nalipaje?
 
Upo mtaa gani?
 
Nnaweza kukuamini! Sasa nalipaje?
Kulipa unanitumia hela then nakutumia SIMU naiweka kwenye bahasha.

Kwa uhakika na uaminifu naweza kuku unganisha na ndugu yangu alie ARUSHA huko huko mjuane kwanza ili ikitokea lolote

Akulete hadi kwangu nilipo...

ARUSHA ni HOME.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…