Riccristin
JF-Expert Member
- Nov 30, 2011
- 350
- 51
Mwenye nayo au ambaye anajua bei yake anijuze.
Mpya Origjino inarange kati ya $200 to $250
Mpya Origjino inarange kati ya $200 to $250[/Q
mkuu ungemalizia duka la wapi mjini unapata ,huku kwa waswahili ni shilingi ngapi, heshima mbele!
Vodashop Mlimani City ilikuwepo about 3 weeks ago. Bei ilikuwa around 470,000 Tshs.