Natafuta Samsung ACE

Natafuta Samsung ACE

Robies

Member
Joined
Feb 28, 2010
Posts
18
Reaction score
1
Wana JF natafuta Sim Tajwa Hapo Juu
Mwenye Nayo Nijulishe Plis
 
$350 Samsung galaxy Ace plus mpyaaaaaa

Ahsante muanzisha mada.

Mkuu Mbimbinho, Binafsi nilikuwa nataka kununua Samsung Galax S II nilipata bei hizi 1,200,000/= ( Mlimani City), 650,000/= (Kaliakoo) na 800,000-750,000/= (maeneo ya Posta mpya-DSM). Nilishindwa kujua utofauti huu wa bei una tokana na ubora wa simu (material+technology used) au idadi ya applications za simu hiyo. nilijaribu kuwadadisi wauzaji, majibu yao haya kunilidhisha.

Mkuu Mbimbinho, bado nina nia ya kununua simu hiyo. Ombi langu kwako ni "" naomba mbinu nitakazotumia kujua kuwa simu ninayonunua ni guanine na ina specifications zote zilizokatika link hii>>>> Samsung GALAXY S II pia bei iwe halisi, isiwe kuruka""
 
Mkuu Samsung galaxy ya ukweli sidhani kama unaweza pata kwa chini ya 1M kibongo bongo,
I don't know which way you can use maana mimi ni mteja wa htc, but kitu kimoja tu kujua kama kitu ni genuine, Angalia garantee yake lazima ianzie one year or above, chini ya hapo sijui miezi sita or miezi kadhaa jua kuna walakini.
Make sure guarantee inazidi one year
 
Back
Top Bottom