Natafuta Runx au Allex

D-nation

JF-Expert Member
Feb 27, 2017
200
98
Za mida wakuu, kama kichwa kinavyo jieleza, moja wapo ya hizo gari nahitaji

isiwe imepata ajali
- Low/medium mileage /isiwe imetumika sana
- Iiwe B, iwe C iwe D zote sawa
- isiwe na case na serikal ya Magufuli, kama ipo, tutafwekana kwenye bei ya kununulia

(NB: Offer yangu mil 7--6.5)

WhatsApp/call 0652567568
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom