Natafuta roommate nchi Marekani

Inawezekana maan amesema amepanga viumba vitatu sasa hayo mambo ya viumba 3 ni bongo hiihii huko nje huwezi kuthubutu..

Ni viwili boss nimekosea. hata hvyo hiyo inawezekana
 
Unatafuta Mbususu ya bure kwa jina la roommate.

Kama kweli upi USA, kuwa makini. Usijekujipakulia Mbususu ya watu bila ridhaa.

Ila wana wa adam bhnaa, basi sawa
 

Mpuuzeni huyu tapeli
 
Marekani ya buza hiyo na kuna mabwege yataamini
 
Bingwa , sasa hii Tax return inahusiana vipi
Au unamuwahi Trump kabisa unatoa yako kabla yake..
Duh! halafu hufikirii maisha ya usoni kabisa, yaani pensenshi mpaka sasa una dola 100 tu...


View attachment 2832615

Tumia akili.

Hiyo sio tax return.

Na hiyo peshen walitaka waanze kuchukua kwa mara kwanza ( ni kampuni ya watu binafis tu) mimi nilikataa cos bado nina benefits za SC na pili sina malengo ya kuishi Marekani
 
I can see how maisha ya nje yalivyonaupweke ,
 
Tumia akili.

Hiyo sio tax return.

Na hiyo peshen walitaka waanze kuchukua kwa mara kwanza ( ni kampuni ya watu binafis tu) mimi nilikataa cos bado nina benefits za SC na pili sina malengo ya kuishi Marekani
Si umesema ni raia wa marikani🤣🤣
Kwann usiwe na malengo ya kuishi nchini kwako?
Ningekuwa marikan ningekudm
Tatizo Niko huku misigiri
 
Si umesema ni raia wa marikani

Kwann usiwe na malengo ya kuishi nchini kwako?
Ningekuwa marikan ningekudm
Tatizo Niko huku misigiri

Si lazima mmarekani kuwa na malengo ya kuishi Marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…