Habari zenu wakubwa,
Natafuta ni wapi naweza pata roller blades (viatu vya matair) za kununua either dukani au kama kuna mtu anacho na anakiuza tunaweza fanya biashara
Mimi nipo mwanza kama kuna mtu pia anafahamu bei zake naomba msaada tafdhari ahsanteni.