Natafuta RIM paper za kununua

Tyrex

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
2,445
Reaction score
5,318
Habarini wakuu, natafuta rim paper za A4, nahitaji box kama 50-100 inategemea ntakua nachukua mara kwa mara kama kuna mtu anaziuza kwa jumla anichek offer 30,000 kwa kila box na ntachukua nyingi, contact 0743586474 sms kwa wauzaji serious

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utauziwa feki kwa hiyo bei na hutazipata nyingi zaanzia 40000 kwa box
 
Hamna muuzaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…