Hesabu ya 200k per week unaweza??
Nani analipa hii pesa kwa wiki mkuu...au ni kwa mkataba maalumu wa mwaka mmoja then gari yake?
Hesabu ya sasa sokoni ni 180k -200k
Ya mkataba wa miaka miwili ni 250k per week
Hesabu saivi mpaka 150 mzee, Uber zimekua nyingiHesabu ya sasa sokoni ni 180k -200k
Ya mkataba wa miaka miwili ni 250k per week
Uongo....kaka yangu anafanya hii kazi analipa laki sita kwa mwezi. Na gari kaenda mwenyewe showroom ameambatana na boss wake.



