A Aika Mndumii Senior Member Joined Jan 19, 2013 Posts 164 Reaction score 47 Jul 21, 2013 #1 Natafuta RAV4 ya mwaka 1998 ambayo haijatumika Tanzania yenye 3s ENGINE. Kwa wadau wenye uzoefu naweza kupata kwa bei gani? mimi budget yangu ni 14m. Mwenye nayo naomba anijulishe
Natafuta RAV4 ya mwaka 1998 ambayo haijatumika Tanzania yenye 3s ENGINE. Kwa wadau wenye uzoefu naweza kupata kwa bei gani? mimi budget yangu ni 14m. Mwenye nayo naomba anijulishe
FUKO LA DHIKI JF-Expert Member Joined May 8, 2011 Posts 463 Reaction score 146 Jul 21, 2013 #2 Nina RAV4 ya mwaka 1997 mpya yenye engine 3S,rangi ya dark blue kwa bei uliyoitaja
kamanyora JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 209 Reaction score 134 Jul 21, 2013 #3 mkuu kama unatumia whatsApp nipm no yako ili nikutumie picha uione kama utaipenda uwasiliane na muhindi mmoja hivi alikuwa nayo kama atakuwa hajaiuza
mkuu kama unatumia whatsApp nipm no yako ili nikutumie picha uione kama utaipenda uwasiliane na muhindi mmoja hivi alikuwa nayo kama atakuwa hajaiuza
K Kede Member Joined Jun 13, 2011 Posts 31 Reaction score 19 Jul 22, 2013 #4 FUKO LA DHIKI said: Nina RAV4 ya mwaka 1997 mpya yenye engine 3S,rangi ya dark blue kwa bei uliyoitaja Click to expand... kaka weka specific na picha wadau wengne tuione..tunaweza tukabid
FUKO LA DHIKI said: Nina RAV4 ya mwaka 1997 mpya yenye engine 3S,rangi ya dark blue kwa bei uliyoitaja Click to expand... kaka weka specific na picha wadau wengne tuione..tunaweza tukabid
P Pescam Member Joined Jul 19, 2013 Posts 13 Reaction score 1 Jul 22, 2013 #5 Hiyo mkuu angalia picha haijatumika hapa Bongo ukiipenda ni Pm bei hiyo uliyo offer zaidi tuwasiliane 0715800888 Attachments BF89288_7.jpg 56.9 KB · Views: 84 BF89288_6.jpg 58.6 KB · Views: 86 BF89288_2.jpg 48.3 KB · Views: 74 BF89288_21.jpg 51.8 KB · Views: 85 BF89288_19.jpg 40.8 KB · Views: 86
Hiyo mkuu angalia picha haijatumika hapa Bongo ukiipenda ni Pm bei hiyo uliyo offer zaidi tuwasiliane 0715800888
A Aika Mndumii Senior Member Joined Jan 19, 2013 Posts 164 Reaction score 47 Jul 22, 2013 Thread starter #6 Pescam said: Hiyo mkuu angalia picha haijatumika hapa Bongo ukiipenda ni Pm bei hiyo uliyo offer zaidi tuwasiliane 0715800888 Click to expand... Mkuu asante, - Confirm hii ni model ya mwaka 1998 - Imetembea kilomita ngapi - Hii gari iko wapi kwa sasa Dar au sehemu nyingine? Asante
Pescam said: Hiyo mkuu angalia picha haijatumika hapa Bongo ukiipenda ni Pm bei hiyo uliyo offer zaidi tuwasiliane 0715800888 Click to expand... Mkuu asante, - Confirm hii ni model ya mwaka 1998 - Imetembea kilomita ngapi - Hii gari iko wapi kwa sasa Dar au sehemu nyingine? Asante
P Pescam Member Joined Jul 19, 2013 Posts 13 Reaction score 1 Jul 22, 2013 #7 Confirm ni model ya mwaka 1998 - Imetembea kilomita 136,000 - Hii gari iko Dar showroom kwa sasa lkn bei ya huko wanaanzia juu kidogo mie mwenyewe nitakupa kwa offer yako Asante mkuu.
Confirm ni model ya mwaka 1998 - Imetembea kilomita 136,000 - Hii gari iko Dar showroom kwa sasa lkn bei ya huko wanaanzia juu kidogo mie mwenyewe nitakupa kwa offer yako Asante mkuu.