Aika Mndumii
Senior Member
- Jan 19, 2013
- 164
- 47
Natafuta RAV4 ya mwaka 1998 ambayo haijatumika Tanzania yenye 3s ENGINE. Kwa wadau wenye uzoefu naweza kupata kwa bei gani? mimi budget yangu ni 14m. Mwenye nayo naomba anijulishe
Nina RAV4 ya mwaka 1997 mpya yenye engine 3S,rangi ya dark blue kwa bei uliyoitaja
Hiyo mkuu angalia picha haijatumika hapa Bongo ukiipenda ni Pm bei hiyo uliyo offer zaidi tuwasiliane 0715800888