wilbald JF-Expert Member Joined Dec 17, 2007 Posts 1,810 Reaction score 1,382 Mar 23, 2012 #1 Wakuu habari za siku nyingi. Jamani nilikuwa naomba mwenye ramani ya nyumba ya vyumba vinne na sebule anipatie. Kama kuna mwenye nayo on soft copy ani PM then ntampa contact zangu. Ntashukuru sana wakuu.
Wakuu habari za siku nyingi. Jamani nilikuwa naomba mwenye ramani ya nyumba ya vyumba vinne na sebule anipatie. Kama kuna mwenye nayo on soft copy ani PM then ntampa contact zangu. Ntashukuru sana wakuu.
Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,649 Mar 23, 2012 #2 Unataka ramani ya bure au ya kununua? Pia unataka ramani ya nyumba ambayo itacost shilingi ngapi katika kujenga hiyo nyumba?
Unataka ramani ya bure au ya kununua? Pia unataka ramani ya nyumba ambayo itacost shilingi ngapi katika kujenga hiyo nyumba?
comred JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 1,867 Reaction score 1,611 Mar 24, 2012 #3 Contact on dc# 0684683006 he is qualified on house plans...
josam JF-Expert Member Joined Nov 22, 2011 Posts 2,252 Reaction score 1,047 Mar 24, 2012 #4 for your enquiries dial 0715 788 949
wilbald JF-Expert Member Joined Dec 17, 2007 Posts 1,810 Reaction score 1,382 Mar 26, 2012 Thread starter #5 Thanks guys for your reply, i will check with you soon!
newmzalendo JF-Expert Member Joined Mar 23, 2009 Posts 1,388 Reaction score 583 Mar 31, 2012 #6 Concept designs - house plans House Plans