Wee mbona umri wako hauja uwekaaa hapoo?
Mhala duhu. Obeja.Dela'masoga mayo! Ne'ne lulu, nale'kulombela ku-sebha (ha ha sijui nimepatia)
^^
Hivi hao wenye hofu ya Mungu huwa wakoje?
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea,mimi ni ke. Natafuta rafki wa kiume,awe na umri wa miaka 33-38,mkristu na mwenye hofu ya Mungu.Aliye tayari karibu.
somo tosha kabisa kama kuna mtu atarudia kutumia tena hiyo sentensi msamehe tuMimi nina hofu ya shetani maana ndo adui yangu wa kwanza. Mungu sina hofu nae maana ni rafiki yangu. Ngoja waje watwnda maovu wenzio...
Vigezo nimetimiza waweza ni pm.