Natafuta rafiki


WTF!Mwaka! for what?just that I quit walahi bora iende tu
 
NI-PM mimi, hutajilaumu. Tuelekezane na shughuli yangu ya uvuvi!.
 
Dada yangu kwakuwa umejitambua na umekuwa na uzoefu wa siku nyingi na unafahamu fika unachokihitaji Basi haitakuwa vibaya tukawa marafiki kwani najua yaelekea vision yako ni ya maendeleo kuliko watu wanavyo kudhania sijui hili unasemaje je unaona kuna uwezekano wa wewe na mimi kuwa marafiki?kama hilo lipo mimi naomba hivyo tangu usomapo hii comment kwa upole na unyenyekevu uliojaliwa na mwenyezi nitakuomba faragha kidogo ili tuone hili jahazi tunapeperushia kwenye upepo wa kus kama siyo kasi!Asante ni mimi ndimi rafiki mtarajiwa!
 

asante KakaKiiza
 
NJOO KWANGU MIE NIPO NA NAWEZA HAYO YOTE ULIYOYASEMA ...

ILA NATAKA JUKUMU LA KUHAKIKISHA "TUNAZISHINDA HISIA ZETU ZA MAPENZI " PALE ZITAPOJITOKEZA NI-LA KWAKO.....

NAKUAHIDI KUTOKUKUTONGOZA ILA NA WEWE NIAHIDI KUZISHINDA HISIA ZA MAPENZI ZITAKAZOJITOKEZA JUU YETU....

pia ni jukumu lako kumuelewesha my wife kuwa wewe ni rafiki yangu tuu tulikutana jf nikutoe upweke na kushauriana kuhusu mambo ya maisha na sio mapenzi...
 

ha ha ha umenichekesha, majukumu yote niachie mimi, nitakunyoosha tu
 

pole aisee mpaka marafiki hauna..... watakuja usijali lakini humu JF wapo kibao
 
Nimefurahi sana kuiona thread yenye busara kama yako. Wasiwasi wangu cjuwi kama mumeo atakuwa na moyo kama wako na kuweza kumuamini rafiki yako. Kama imani hiyo anayo ni pm
 


dada angu km ni rafiki wa kushare life experiences na sio mapenzi hata mtoto wa miaka 10 anaweza shauri k2 kizur bora tu kama anajtambua,,,hafu unajua humu jf wamejaa wanachuo na wasomi mbalimbali? cha msing tafuta marafik wanaojtambua bac...
 

Mamboo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…