Mi ni mwanaume nina watoto wawili mmoja wa kike na mwingine wa kiume nina miaka 42 ninaishi mwanza natafuta rafiki hasa wa kike kati ya miaka 35 na 40.
Mi ni mwanaume nina watoto wawili mmoja wa kike na mwingine wa kiume nina miaka 42 ninaishi mwanza natafuta rafiki hasa wa kike kati ya miaka 35 na 40.
hujaeleweka unachotafta kwa umr huo.unaposema rafiki au hawara?ikiwa ni rafiki tena huo kubalans watoto kunahusika nini na urafiki wenu?wew funguka unahitaji mke au hawara ueleweke na maelezo alipo mama wa hao watoto.utawapata wamama walioachwa au kufiwa wapo weng sana