Natafuta rafiki wa kweli

endelea kuamini watu wananijua humu live
Basi na mimi nataka nikujue live, nijihakikishie kama kweli wewe ni ke , unaweza ukawa rafiki yangu wa kufa na kuzikana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Basi na mimi nataka nikujue live, nijihakikishie kama kweli wewe ni ke , unaweza ukawa rafiki yangu wa kufa na kuzikana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kama wewe wa kike sawa
 
Dunia imefikia mwisho
 
Hii movie nzur sana

Ngoja nikae vzr katika kigoda changu

Ila asante kwa kunitetea kuleeeeee kenye mambo ya ulimwengu wa 3
 
nafahamu ilo maana jf ni uwanja wa kutoa mawazo huru bila kumung'unya manenoo!! nimemaliza!!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…