Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,027
- 52,501
sijui mmama yupoje?kumbe na wewe ni mmama???
mwanamke mtu mzima,awe na watoto,ila nikiangalia Miss Natafuta naona bado ni binti,kumbe mmama???sijui mmama yupoje?
kinachokufanya unione mmama au binti ni kitu gani maana sijajitambulishahapamwanamke mtu mzima,awe na watoto,ila nikiangalia Miss Natafuta naona bado ni binti,kumbe mmama???
ni kudhani tu!!kinachokufanya unione mmama au binti ni kitu gani maana sijajitambulishahapa
ndo nini hicho?Lesbians
hapana natafuta single mother sasa si hamuwatakiulipata mtoto?
hujui wanawake weweAkufanye buzi mwanamke mwenzio!duh Dada umenichefua
duuu msijesagana tu.....hapana natafuta single mother sasa si hamuwataki
ndo nini hicho?
Hizo sifa ulizotaja ndo za rafk wa kweli? Sidhan.natafuta rafiki wa kweli
jinsia awe mwa kike
miaka 30-50
awe anaishi dsm
awe mpenda out ajue viwanja awe ananitembeza ila tu asiniuze maana wanawake sisi? sitaki kudalaliwa
awe na kipato asinifanye buzi lake maana wamama sisi tunapenda kuchuna wenzetu kinafiki tukitoka kila mtu atalipia bill yake.
ukitaka tutaishi wote kama una mtoto asizidi mmoja .
dini yoyote isipokuwa mlokole ,msabato au shahidi wa jehova
usiwe mlevi au na cv mbaya mjini
njoo pm
hayo yanatoka wapi jamani?duuu msijesagana tu.....
Wewe miss natafuta sio mwanamke ni mwanaume kabisa, hutaki nitoe ushaidi hapa nikuumbue. Sasa hapo huko katika uhalisia wako unatafuta mke.natafuta rafiki wa kweli