James Mwidoro
Member
- Aug 22, 2016
- 71
- 93
Ahsante sana sanaNamie napenda urafiki uwe Kakangu kabisa kwenye familia yetu tupo madada tu
ThanksKila la kheri
Tuma nambaHabari wana jamii, mimi naitwa James na nina miaka 31, sijaoa wala sina mtoto. Natafuta rafiki wa kike ambae yupo serious katika urafiki tu na ambaye atakuwa muwazi katika kushirikishana mambo yanayotuhusu. Kigezo changu kikubwa nayemuhitaji ni rafiki wa kike tu sintajali ata akiwaje Cha muhimu akubali kuwa rafiki kwangu na pia awe muwazi tu, nitashukuru sana, pia kama utaona huu uzi unakukera nitaomba upite bila kucomment wala kupm
Ahsante Bacarymungu akubariki
[emoji121]Habari wana jamii,
Mimi naitwa James na nina miaka 31, sijaoa wala sina mtoto. Natafuta rafiki wa kike ambae yupo serious katika urafiki tu na ambaye atakuwa muwazi katika kushirikishana mambo yanayotuhusu. Kigezo changu kikubwa ninayemuhitaji ni rafiki wa kike tu sitajali hata akiwaje, cha muhimu akubali kuwa rafiki kwangu na pia awe muwazi tu, nitashukuru sana.
Pia kama utaona huu uzi unakukera nitaomba upite bila kucomment wala kupm.
Nasis kwetu tupo ma kaka tujigawe bhasNamie napenda urafiki uwe Kakangu kabisa kwenye familia yetu tupo madada tu
Mpo wangapi tugawane?Nasis kwetu tupo ma kaka tujigawe bhas
Na mimi bas nwe kaka akoNamie napenda urafiki uwe Kakangu kabisa kwenye familia yetu tupo madada tu
Kaka karibuNa mimi bas nwe kaka ako
Habari wana jamii,