kwa uzoefu wangu, wanawake wa kukutana nao mtandaoni ni tatizo au majanga, wa kukutana kwa basi au daladala at least, mnakaa mtaa mmoja angalau, mnasoma shule moja at least mnafahamiana tabia, mnasali pamoja ni nzuri zaidi, mmekutana bar majanga pia.
Sasa sijui inakuwaje?? ina maana kote huko darasani, kanisani hujapata friends au unataka wa nyongeza??