Natafuta Rafiki wa kiume

Duh sijui kile kitufe cha kurudisha Umri nyuma kimewekwa wapi maana Namkosa mrembo hivi hivi above 30.
 
Jamani kuna watu humu kila inapotoka post ya mtu anataka mchumba au mume na yeye yupo,sasa sielewi kote hawajawahi kukubalika au lah?????
 
Bila shaka hautizamiki marambili, laiti kama ungekuwa nakamvuto ungekuwa tayari unamtu, kama nakusingizia weka picha tukuone


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hivi kwanini sie WASABATO mnatutenga sana..! ??
 
Aiyaaaa, kipengele cha dini kimenukosesha mke, daaah, legeza msharti mamaa upate mume.


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Bila shaka hautizamiki marambili, laiti kama ungekuwa nakamvuto ungekuwa tayari unamtu, kama nakusingizia weka picha tukuone


Sent from my iPhone using JamiiForums

Acha dharau wewe.
 

Loh, ina maana sina kigezo hata kimoja!!
*Nimezidi miaka 30
*Mimi mtu wa mara na ninakula ugali wa mtama nyama na maziwa tu.
*Mimi mwembamba sana
*Nliishia darasa la saba.
*Mimi mishen town tu, lakini si haba vijisenti vipo vinautosha ukoo wetu wote.
*Dini sina kabisaa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…