Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza..rafiki wa kike namuhitaji ambaye kesho atakuwa mke kwangu...awe muslim,elimu ya aina yeyote,awe mweupe ama maji ya kunde,mnene kiasi kuanzia,umri kuanzia 22-35,awe mkarimu na upendo wa kweli...haiba yenye kuvutia angalau..aliye tayari ani pm maswali yanaruhusiwa