raia_mwema
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 479
- 314
Natafuta rafiki wa kike popote pale. Napenda awe mrefu na asiwe kibonge, umri kuanzia miaka 22 mpaka 27. Pia awe mcha MUNGU katika roho na kweli.
Ni pm nitakujibu na tutafahamiana kiundani
Sihitaji kashfa wala mizaha, kama huna cha kuchangia soma uondoke
Ni pm nitakujibu na tutafahamiana kiundani
Sihitaji kashfa wala mizaha, kama huna cha kuchangia soma uondoke