mamayeyoo
Member
- Dec 27, 2013
- 86
- 22
Mimi ni binti wa miaka 22 natafuta rafiki wa kike, awe anajiheshimu, anamawazo ya maisha, sio muhuni wala mpenda starehe za ajabu, awe anapenda kusali na mwenye hofu na mungu, msiri msafi na mwenye malengi. Ni pm no yako nipo Dar es salam. ��������