Natafuta Rafiki wa Kike

Natafuta Rafiki wa Kike

C.K

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
394
Reaction score
166
Hi... Natafuta rafiki wa kike - mke mtarajiwa, sifa
- Mkristo (Mchamungu, mpendwa vyema zaidi)
- Awe anaishi DSM
- Atleast undergraduate
- Amejiajiri au ameajiriwa
- Umri 20-29

Sifa zangu
- Mkristo
- Nimeajiriwa pia nimejiajiri
- umri 33

Mengine tutafahamiana, ni PM
 
Mungu ana namna nyingi ya kukutanisha watu, utampata tu. all the best..!
 
unatafuta demu...mbunye au rafiki....???

Rafiki ndugu ambaye Mungu akipenda aje kuwa mke wangu........ Kwa maneno mengine waweza sema natafuta mke mtarajiwa, asante!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom