Natafuta rafiki wa kike

Natafuta rafiki wa kike

hahahaaa!! usijali jewels! hata kuni-mention bado hujaweza besti... naitwa E X C E L !

umeona ilivyo rahisi eenh?

by the way, nimefurahi kukutana na wewe leo, unaishi wapi vile mamii?..

PM me if its Private and Confidential!

Bint jewels video ushawekewa mm natoa vinywaji pata burudan Excel let's celebrate
 
Attachments

  • 1401807800737.jpg
    1401807800737.jpg
    5.9 KB · Views: 94
Last edited by a moderator:
hahahaaa!! usijali jewels! hata kuni-mention bado hujaweza besti... naitwa E X C E L !

umeona ilivyo rahisi eenh?

by the way, nimefurahi kukutana na wewe leo, unaishi wapi vile mamii?..

PM me if its Private and Confidential!

Hahahhahaha exel simu yangu haina "c "
 
Last edited by a moderator:
Bint jewels video ushawekewa mm natoa vinywaji pata burudan Excel let's celebrate

Hahahaaaa!! binti wewe, umeanza lini kuwa na kipaji hiki?

nimeipenda hii.....

ngoja nisake meza nzuri ya kujiachia na hivi vinywaji...

beach_table_sunny_beach.JPG

vp hio ichana? nipe kikaango!
 
hahahaaa!! usijali jewels! hata kuni-mention bado hujaweza besti... naitwa E X C E L !

umeona ilivyo rahisi eenh?

by the way, nimefurahi kukutana na wewe leo, unaishi wapi vile mamii?..

PM me if its Private and Confidential!

naishi ukonga
 
Last edited by a moderator:
Ayaaa kuna hatari ya kukosa mwenza...labda tuanze na umri wako Excel

hahahaaa!! usijali besti, mi bado damu inaruka ruka ndani ya mishipa... ndio kwaaaaanza nakimbilia miongo miwili na nusu toa moja! lol

(kama hujui hesabu mamii hapo kazi unayo!).. ila usijali, tunaweza kuendelea kuwa marafiki... mie naishi kwa watoto wa mbwa mwitu... lol!
 
Nimekufahamu uzuri Excel...tumeshakuwa marafiki tayari.
 
Me mzima my x nashukuru Mungu, kama hujambo ndo furaha yangu

Nashukuru besti kusikia hilo... afu ujue wewe bado ni mke wangu! wala sio X!

Tambua hilo.. sawa mama?

em kula ngoma hii kwanza then utafakari...!
 
Nimekufahamu uzuri Excel...tumeshakuwa marafiki tayari.

haya asante jewels... mi sio mbwa mwitu bhana, nimetania kiasi...

ntajipanga nije Ukonga kukusalimu, vp utakuwa free weekend hii nijepo kwenu/kwako?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom