D DavidMoyes Member Joined Apr 22, 2014 Posts 52 Reaction score 15 Jan 9, 2015 #1 Mimi ni Mhandisi,mjasiliamali naishi Dar es salaam. Natafuta marafiki wa kike wa kuchati nao. Zaidi nitumie PM.
Mimi ni Mhandisi,mjasiliamali naishi Dar es salaam. Natafuta marafiki wa kike wa kuchati nao. Zaidi nitumie PM.
Sheghwede JF-Expert Member Joined Mar 30, 2013 Posts 277 Reaction score 124 Jan 9, 2015 #2 kwa hiyo kama ni mhandisi unataka uwajengee nyumba? alafu mhandisi unayechat sijui unahandisi nini
D DavidMoyes Member Joined Apr 22, 2014 Posts 52 Reaction score 15 Jan 9, 2015 Thread starter #3 Sheghwede said: kwa hiyo kama ni mhandisi unataka uwajengee nyumba? alafu mhandisi unayechat sijui unahandisi nini Click to expand... Watu wa aina yako ndio enzi mnasoma mlikuwa mnakesha usiku kucha halafu bado mnafeli. Huwezi kuwa unafanya kazi mda wote kama roboti,na pia we unajua Mhandisi ni wa ujenzi tu!
Sheghwede said: kwa hiyo kama ni mhandisi unataka uwajengee nyumba? alafu mhandisi unayechat sijui unahandisi nini Click to expand... Watu wa aina yako ndio enzi mnasoma mlikuwa mnakesha usiku kucha halafu bado mnafeli. Huwezi kuwa unafanya kazi mda wote kama roboti,na pia we unajua Mhandisi ni wa ujenzi tu!