Natafuta rafiki 'Girlfriend' wa kuchat nae

Natafuta rafiki 'Girlfriend' wa kuchat nae

DavidMoyes

Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
52
Reaction score
15
Mimi ni Mhandisi,mjasiliamali naishi Dar es salaam. Natafuta marafiki wa kike wa kuchati nao. Zaidi nitumie PM.
 
kwa hiyo kama ni mhandisi unataka uwajengee nyumba? alafu mhandisi unayechat sijui unahandisi nini
 
kwa hiyo kama ni mhandisi unataka uwajengee nyumba? alafu mhandisi unayechat sijui unahandisi nini
Watu wa aina yako ndio enzi mnasoma mlikuwa mnakesha usiku kucha halafu bado mnafeli. Huwezi kuwa unafanya kazi mda wote kama roboti,na pia we unajua Mhandisi ni wa ujenzi tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom