ngungwangungwa JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 649 Reaction score 587 Jun 9, 2025 #1 Wakuu umofia kwenu.. km kuna yeyote anashida na hela na ana radio subwoofer ndogo Tu ya kawaida ani-dm nimuokoe na yeye aniokoe. Sitaki radio kubwa ya bei ya kubwa ndo maana nimekuja hapa. Maduka ya radio nayajua ila Sina hizo hela.. ahsanteni..!!
Wakuu umofia kwenu.. km kuna yeyote anashida na hela na ana radio subwoofer ndogo Tu ya kawaida ani-dm nimuokoe na yeye aniokoe. Sitaki radio kubwa ya bei ya kubwa ndo maana nimekuja hapa. Maduka ya radio nayajua ila Sina hizo hela.. ahsanteni..!!
Gidabed JF-Expert Member Joined Jan 29, 2023 Posts 729 Reaction score 1,308 Jun 9, 2025 #2 Ungeweka na location mkuu
ngungwangungwa JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 649 Reaction score 587 Jun 9, 2025 Thread starter #3 Gidabed said: Ungeweka na location mkuu Click to expand... Nipo Dar kiongozi..
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,741 Reaction score 1,251,404 Jun 15, 2025 #4 Nice