mpitanjia2005
Member
- Jul 27, 2013
- 40
- 5
Ndugu yangu maeneo ya Kivule hayajapimwa, ina maana umeamua kujitoa muhanga, na sababu yenyewe kama ulivyosema ni fedha za kubangaiza, sasa QS wa nini tene kama sio gharama? Kwa ufahamu wangu mwenye kutafuta QS anataka kujua gharama ili afanye single and bulk purchase na ujenzi utachukua muda mfupi, hapo naona wewe haupo. nakushauri tafuta mafundi uanze ujenzi hatua kwa hatua.
Mkuu upo sahihi kabisa, ila natafuta QS ili aweze kunichanganulia baadhi ya cost za material stage kwa stage, ili nijue kuwa naanza vipi....
Ndugu Kaburu...tatizo hawa mafundi wanataja idadi ya material kwa makadirio ya juu sanaaaa...ss nataka nipate mchanganuo nione km unaendana nao...nimejaribu kwa mafundi wawili wamenitajia idadi ya materials kwa utofauti mkubwa sanaaa...
Basi nikaona nishirikishe wataalamu ili kupata mwangaza...pia unaweza nisaidia labda hao mafundi wako wanaweza kunipa makadirio mazuri...
Mkuu hatua zenyewe za ujenzi hazihitaji sana ufahamu, msingi bila shaka ndio hatua ya kwanza, kabla ya kunyanyua kuta, sasa hapo unafikiri mafundi watashindwa kukwambia materials zinazohitajika? Anyway labda mimi nilijenga kienyeji sana lakini miaka imekatika ya kutosha na hakuna tatizo.
Mkuu upo sahihi kabisa, ila natafuta QS ili aweze kunichanganulia baadhi ya cost za material stage kwa stage, ili nijue kuwa naanza vipi....
Ndugu yangu maeneo ya Kivule hayajapimwa, ina maana umeamua kujitoa muhanga, na sababu yenyewe kama ulivyosema ni fedha za kubangaiza, sasa QS wa nini tene kama sio gharama? Kwa ufahamu wangu mwenye kutafuta QS anataka kujua gharama ili afanye single and bulk purchase na ujenzi utachukua muda mfupi, hapo naona wewe haupo. nakushauri tafuta mafundi uanze ujenzi hatua kwa hatua.
Habari wadau,
Natafuta QS ambaye atanisaidia kunichambulia idadi ya material yatakayohitajika kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yangu.
Ramani na vipimo vyote vipo, anayemfahamu QS au QS mwenyewe ambaye yupo Dar naomba anisaidie namba zake za simu au aniPM....
N.B: asiwe na gharama za juu maana pesa zenyewe za kubangaiza......
[TABLE="class: _5e7- profileInfoTable _3stn, width: 376"]Nashukuru sana afarecol...
Naomba pia mnisaidie namba zenu za mkononi ili iwe rahisi kuwasiliana...