mpitanjia2005
Member
- Jul 27, 2013
- 40
- 5
Habari wadau,
Natafuta QS ambaye atanisaidia kunichambulia idadi ya material yatakayohitajika kwa ajili ya ujenzi wa nyumba yangu.
Ramani na vipimo vyote vipo, anayemfahamu QS au QS mwenyewe ambaye yupo Dar naomba anisaidie namba zake za simu au aniPM....
N.B: asiwe na gharama za juu maana pesa zenyewe za kubangaiza......