Natafuta punje ya haradani (mustard seed) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta punje ya haradani (mustard seed)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gamaha, May 13, 2010.

 1. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #1
  May 13, 2010
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  Heshima kwenu wapwas,
  Baada ya kuwa nimepoteza imani na kila kitu katika maisha yangu, baada ya kuona kuwa sasa siwezi kufanya kitu chochote kwa sababu ya kukata tamaa na maisha.. yes usishangae nimekata tamaa na maisha kila ninachofanya ni sifuri naludi nyuma kila siku badala ya kwenda mbele. nikagundua kuwa tatizo langu kubwa ni kutokuwa na imani imani na maisha, imani na kazi imani ndani yangu sina imani na chochote. baada ya kuanza kusoma biblia yangu ya siku nyingi nikakutana na mstari huu kwa tafsiri isiyo rasmi " UKIWA NA IMANI KAMA PUNJE YA HARADANI HAMNA LITAKALO SHINDIKANA KWAKO" nikasema wao kaimani kidogo tu kama hii punje kananitosha.

  Tatizo sijui ni wapi nitapata hizi punje ndogo za haradani ili niwe naishika na kuingalia itanisaidia kuludisha imanni yangu kwa asilimia nyingi tu so please nisaidieni wandugu kabla sijaingia shimoni manake niko katika hali mbaya
   
Loading...