Natafuta pumba ya ngano

Natafuta pumba ya ngano

Felix

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
903
Reaction score
797
Wakuu, poleni na majukum.

Ninaomba mnisaidie, hivi pumba za ngano ua zinapatikana wapi? kuna mtu kaniambia nijaribu kwa Bakhresa, hivi ni kweli naweza kuzipata apo?

Kuna mtu ana contacts zozote na pale au pengine? kiufupi sihitaji nyingi kwasasa hata bei siijui ila kwa badae naweza kuziitaji. kuna rafiki yangu yuko Scotland, anazitaka kwa wingi ila kwa sasa nataka kilo moja nikisha ipata niipeleke TBS then baada ya apo nimtumie hiyo sample.

Akishaona vipimo vya TBS ndo ataweza kuweka oda ya tons. naomba anaye jua zilipo anisaidie please. asanteni

FELIX
 
Jamani hivi kweli leo hamuoni huo uzi wangu? au mme amua kunisusia kwa leo mnasoma tu mna ondoka au hamjui?
 
Pembe Mills ya Tanga ipo nyingi sana. ni-PM nikuunganishe na mhusika moja kwa moja
 
Nenda kwny viwanda vya bia zipo nyingi sana
 
Unataka nyingi nikuunganishe unapoweza ipata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom