Sijaelewà kwa nini vyuo kadha haviweki prospectuses zao kwenye mtandao. Wengine wanaweka lakini zimepitwa na wakati. Mfano mzuri ni udsm, St. Augustine, Mzumbe wanajitahidi kuwa up to date.
Jaribu kuwa mvumilivu huwa wanautaratibu wa kutoa hard copy ila ni kwa kuchelewa sana na sijajua ni kwanini hawana utaratibu wa kuweka katika tovuti yao ikizingatiwa kuwa ni gharama ndogo kuliko kuliko hizo printed copy.