malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,788
- 4,475
- Thread starter
-
- #21
Mgongo unaniuma nikiwa nimekaa au nimelala katikati ya mgongo kunauma kupanda juu ktk mabegaInabidi ijulikane mgongo uko na shida gani kwanza.. Ika kama anataka kuchua na kunyoosha tuu aende spa.. [emoji23][emoji23][emoji23]Zipo kibao
Aaah! Labda uchovu wa shughuli mingi.. huenda anataka body body ili apone harakaInabidi ijulikane mgongo uko na shida gani kwanza.. Ika kama anataka kuchua na kunyoosha tuu aende spa.. 😂😂😂Zipo kibao
Mkuu ungeazia kwa wataalamu wa viungo, hizi huduma za uswazi nyingi wanafanya mambo yao kienyeji sana unaweza toka unaumwa zaidi badala ya kuponaMgongo unaniuma nikiwa nimekaa au nimelala katikati ya mgongo kunauma kupanda juu ktk mabega
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Mimi naona ungeanza na physio mkuu.. Izo massage za spa izo mnhhh 😂😂ila sawaMgongo unaniuma nikiwa nimekaa au nimelala katikati ya mgongo kunauma kupanda juu ktk mabega
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Physio naweza nkawapata wapiMimi naona ungeanza na physio mkuu.. Izo massage za spa izo mnhhh [emoji23][emoji23]ila sawa
Wataalamu wa viungo nawapatajeMkuu ungeazia kwa wataalamu wa viungo, hizi huduma za uswazi nyingi wanafanya mambo yao kienyeji sana unaweza toka unaumwa zaidi badala ya kupona
Kitengule hosp
nakazia tena Sinza au Tabata Usiende
Chiropractor maana yake ninTafuta chiropractor kama unahitaji tiba ya mgongo kweli. Ila kama ni tiba nyingine, endelea tu kutafuta masseuse.
Hospitali
Hivi naweza kuwa mzima halafu nikaenda kunyoosha viungo kwa physiotherapist?Mkuu.. Unaitaji watu wa spa au physiotherapist??
Hawa wamebase kwenye joint treatments
Cheki na hao.. kuna wakolea nilipata huduma yao siku tatu nikawa safi.. ila sina hakika kama bado wapo.. imepita miaka sasa
Unaweza mkuu sema c tumezoea kwenda hosp ad mtu uumwe ukiwa mzima unaenda zako spa kwenye bode to bode na massage za konokono😂😂Hivi naweza kuwa mzima halafu nikaenda kunyoosha viungo kwa physiotherapist?
#YNWA
Sawa.. Ndo usipokee cm yangu kaka mkubwa😂😂Cheki na hao.. kuna wakolea nilipata huduma yao siku tatu nikawa safi.. ila sina hakika kama bado wapo.. imepita miaka sasaView attachment 2537904