malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,787
- 4,474
Mkuu.. Unaitaji watu wa spa au physiotherapist??Habar wakuu msaada wenu nauliza wapi naweza kuganyiwa massage na maprofesional nasumbuliwa na mgongo
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Kwanin bossSinza na Tabata Usiguse
utanishukuru
kunanuka UTI huko, tena ile Sugu
Physiotherapist na spa tofauti yake ni ipiMkuu.. Unaitaji watu wa spa au physiotherapist??
Haendi kuchukua happy ending anaenda kuchua mgongo wake tu tena body to body,kunanuka UTI huko, tena ile Sugu
Nibalaa mkuukunanuka UTI huko, tena ile Sugu
hapo sawaHaendi kuchukua happy ending
Najitaji kuchua mgongo nasi mengineHaendi kuchukua happy ending anaenda kuchua mgongo wake tu tena body to body,
kama unachukua na happy ending, nunua Tricozole mapema sana
Njia hii km unaenda airport ukishapita kalakana kabla haujafika Jet Lumo angalia upande wa kushoto kuna jengo la Simba chini kuna ka min market na kahotel fulan pia kuna Spa pale juu nenda kawaone watakusaidia kuunyoosha huo mgongo
Sichukui happy endingkama unachukua na happy ending, nunua Tricozole mapema sana
physiotherapy inahusisha mazoez ya viungo including massage... spa ni zile sauna na massage za hot bath, za snail etc...
Hapo sawa Ila ukiwapa Pesa mingi hayo mengine wanakuongezea wenyewe km bonus tu sasa utachagua unachukua au unaacha
Huyu anahitaji physiotherapist.. ila hata SPA sio mbayaa π π watampa na happy endingMkuu.. Unaitaji watu wa spa au physiotherapist??
Inabidi ijulikane mgongo uko na shida gani kwanza.. Ika kama anataka kuchua na kunyoosha tuu aende spa.. πππZipo kibaoHuyu anahitaji physiotherapist.. ila hata SPA sio mbayaa π π watampa na happy end
Sihitaji happy endingHuyu anahitaji physiotherapist.. ila hata SPA sio mbayaa [emoji28][emoji28] watampa na happy ending