Wakuu habari,
Samahani, mwenye kujua shule yeyote ya primary ambayo inafundisha katika media za Kiinglish msaada. Shule iwe ya boarding Ada isizidi 2m kwa mwaka, hapo kilakitu.
Mtoto nataka kuhamisha toka huku kayumba, anaingia darasa la tatu sasa.
Mikoani nayopendelea, Dar, Peanut, Morogoro, Dodoma, Tanga, Kilimanjaro na Arusha.
Asanteni sana Wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda Twibhoki, ipo serengetiWakuu habari,
Samahani, mwenye kujua shule yeyote ya primary ambayo inafundisha katika media za Kiinglish msaada. Shule iwe ya boarding Ada isizidi 2m kwa mwaka, hapo kilakitu.
Mtoto nataka kuhamisha toka huku kayumba, anaingia darasa la tatu sasa.
Mikoani nayopendelea, Dar, Peanut, Morogoro, Dodoma, Tanga, Kilimanjaro na Arusha.
Asanteni sana Wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana mkuu, ila huko mbali sana aseeNenda Twibhoki, ipo serengeti
Hazina international/ TusiimeWakuu habari,
Samahani, mwenye kujua shule yeyote ya primary ambayo inafundisha katika media za Kiinglish msaada. Shule iwe ya boarding Ada isizidi 2m kwa mwaka, hapo kilakitu.
Mtoto nataka kuhamisha toka huku kayumba, anaingia darasa la tatu sasa.
Mikoani nayopendelea, Dar, Peanut, Morogoro, Dodoma, Tanga, Kilimanjaro na Arusha.
Asanteni sana Wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi kweli kweli.Ila mkuu umejisahau ukatumia id zako zote mbili humu[emoji23][emoji23][emoji23]
Uwii
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwache huko huko huku huwezi maana ada unapanga weweWakuu habari,
Samahani, mwenye kujua shule yeyote ya primary ambayo inafundisha katika media za Kiinglish msaada. Shule iwe ya boarding Ada isizidi 2m kwa mwaka, hapo kilakitu.
Mtoto nataka kuhamisha toka huku kayumba, anaingia darasa la tatu sasa.
Mikoani nayopendelea, Dar, Peanut, Morogoro, Dodoma, Tanga, Kilimanjaro na Arusha.
Asanteni sana Wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpeleke Queens English Medium.Wakuu habari,
Samahani, mwenye kujua shule yeyote ya primary ambayo inafundisha katika media za Kiinglish msaada. Shule iwe ya boarding Ada isizidi 2m kwa mwaka, hapo kilakitu.
Mtoto nataka kuhamisha toka huku kayumba, anaingia darasa la tatu sasa.
Mikoani nayopendelea, Dar, Peanut, Morogoro, Dodoma, Tanga, Kilimanjaro na Arusha.
Asanteni sana Wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpeleke Queens English Medium.
Ipo Dar, mitaa ya Ukonga Sitakishari.
Wana boarding na utakuwa ndani ya bajeti yako
Sent using Jamii Forums mobile app
ID zipi mkuu?? SijakusomaIla mkuu umejisahau ukatumia id zako zote mbili humu[emoji23][emoji23][emoji23]
Uwii
Sent using Jamii Forums mobile app