Wadau heading inajieleza, natafuta gari aina ya Premio, engine isiwe D4. offer yangu ni 6 million, lakini gari iwe nzuri na bora. mawasiliano ni o784419o3o
Nina premio 1.6cc ya mwaka 2002. kama upo serious ni PM. ila niweke wazi si kwa 6M. nimeitumia Tanzania kwa miezi 3 tu nikiwa likizo. Na toka hapo ipo tu hakuna mtu anaitumia. kama upo serious na unaweza kwenda juu ya 6m tuwasiliane