Over the hedge Senior Member Joined Sep 6, 2019 Posts 143 Reaction score 162 Nov 27, 2022 #1 Habari wakuu Naulizia portable power station kama hizi hapa chini za kuanzia watts 300 naweza kuzipata wap hapa bongo. Pia zinauzwa kiasi gani?
Habari wakuu Naulizia portable power station kama hizi hapa chini za kuanzia watts 300 naweza kuzipata wap hapa bongo. Pia zinauzwa kiasi gani?
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,597 Reaction score 60,826 Nov 28, 2022 #2 mkuu kwanini usichukue panel, battery na inverter zikiwa separated ? hata maintenance inakua rahisi maana zikiwa housed pamoja namna hiyo tegemea bei kupanda mara 3 bila sababu
mkuu kwanini usichukue panel, battery na inverter zikiwa separated ? hata maintenance inakua rahisi maana zikiwa housed pamoja namna hiyo tegemea bei kupanda mara 3 bila sababu
Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,598 Reaction score 5,187 Nov 30, 2022 #3 Kaa humo upumzike kwa amani kiongozi Attachments Screenshot_20221130-001633_AliExpress.jpg 87 KB · Views: 21 Screenshot_20221130-001646_AliExpress.jpg 105.3 KB · Views: 22 Screenshot_20221130-001625_AliExpress.jpg 95.2 KB · Views: 19
M Matawi ya juu JF-Expert Member Joined Mar 5, 2019 Posts 6,278 Reaction score 11,689 Nov 30, 2022 #4 Amazon zimejaa za kutosha