Natafuta Play Station (used)

Natafuta Play Station (used)

Likuyuseka

Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
50
Reaction score
43
Wakuu salaam.
Natafuta PS2 ama PS3 (kama affordable kwangu).
Nipo pande za Dar
 
niko dar ninayo ps 3 60 gb na pad zake nyeusi laki 6 ni pm
 
Wakuu salaam.
Natafuta PS2 ama PS3 (kama affordable kwangu).
Nipo pande za Dar

Kaka nina ps3 kama tutaelewana nakuuzia, ni slim version with 3.55 software update, 2 dual shock 3 controler, HDMI cable 1, AVI cable moja, ina 320 GB , na pia nime jailbreak na kuweka game 10 kwenye hard disk as god of war 3, pro evolution, fifa, nba, gran tourismo 5, killzone na nyinginezo kali, so unaweza ukaazima cd ya mtu then ukaicopy na kumrudishia huku game unaichezea kwenye ps3 yako, so gharama ya kununua cd inapungua,

Nahitaji lak 8 na nusu nakuachia..


Also nina ps2 naiuza kwa laki moja na nusu, nayo nimeifunga modchip so haichagui cd, nakupa na 2 controler dual shock 2, avi cable na accessories zake zote, pamoja na cd 5 kwa bei hiyo hiyo..

So chaguo lako mdau hata zote poa
 
nina ps3 nene lakini nime ihack so unaweza kucheza games bila kununua cd au ukacopy ya mtu ukaicheza. bei laki 7
 
Kuna jamaa ana PS2 used anauza Tshs.150,000 ,mcheki kwenye namba 0714291306
 
jamani mwenye psp pleaseeeeee! budget yangu 200,000
 
dahh ipo ps 2 kwa laki 180,000. chek mi at 0714-463299 or send a msg at 0716-369299
 
Jaman wa ps3 huyo anayeuza laki 8 me naitaka ila me nko moro cjuui ww unapatkana wapi......halafu 2ongee bei me nna laki 5 brother cyoo nane
 
Jaman wa ps3 huyo anayeuza laki 8 me naitaka ila me nko moro cjuui ww unapatkana wapi......halafu 2ongee bei me nna laki 5 brother cyoo nane

Me ninayo PS3 KWA 500,000 NA XBOX 360 KINETIC KWA 550,000 NI PM TUONGEE BIASHARA
 
Kuna psp hapa bei ni 230000 kwa anayehitaji call 0789095484 or 0718849493
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom