Minada ipi mkuu? Ile ya madalali kama Majembe au ile minada ya watu binafsi?Vizia siku za minada bwana unapata pikipiki bomba kabisa achana na huyo tapeli Jemedal_bin_chichi kwa fedha hiyo unavuta pikipiki ya maana na unabikwa na chenji
Kuna pikipiki ambazo zimekaa sana vituoni huwa vinatolewa vibali vya kuziuza kutoka mahakani na huwa vinauzwa hadharani pale unachukua boxer nzima mpaka kwa laki tatu, hivi juzi nimeichelewa kidogo one ten kwa laki na nusu na ilihitaji marekebisho kama ya laki moja tu mashine inatembeaVizia siku za minada bwana unapata pikipiki bomba kabisa achana na huyo tapeli Jemedal_bin_chichi kwa fedha hiyo unavuta pikipiki ya maana na unabikwa na chenji
Kama uliikosa ulijuaje ilihitaji matengenezo ya laki moja tu?Kuna pikipiki ambazo zimekaa sana vituoni huwa vinatolewa vibali vya kuziuza kutoka mahakani na huwa vinauzwa hadharani pale unachukua boxer nzima mpaka kwa laki tatu, hivi juzi nimeichelewa kidogo one ten kwa laki na nusu na ilihitaji marekebisho kama ya laki moja tu mashine inatembea
lete m1 mkuu nikuachie pikpik ya boxer bm150nashida na TVS,PLATINA,DUMA,BOXER na aina zingne ambazo ni simple kwa ajil ya matembez iwe kwny hali nzur burget ni lak 7 to 1 mil inategemea na chombo .nipo temeke dsm(wailes) nichk 0718163740