Kuna jamaa alitoa thread humu kuhusu hili game. Sikuisave page ila nakumbuka tittle ya thread.
Fanya hivi.
Ingia google andika Hatimaye PES 2018 latoka download sasa jamii forum
Iandike kama nilivyoandika usiache hata neno mmoja kisha utaiona kwenye web ya jamii forum, Ingia kwenye hiyo thread utaona link ya kudownload game.