natafuta pembe za n'gombe

Shukrani mkuu, niliwaza vifungo na vyakula vya mifugo ila nkaona umeweka sharti la rangi hapo nkaona niulizie vizuri, sasa hizo nyingine vipi (za rangi tofauti) au hazina ubora?
Ndyo hazina ubora kama pembe nyeusi...wanahtaji rangi nyeupe zaidi ndo zinakuwa zinakubalika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…