Natafuta PC ya kununua

Baba Matatizo

JF-Expert Member
May 5, 2011
334
64
Habar wana JF.Natafutat PC ya kununua.Iwe na 40gb HDD,ram 512.Pesa niliyonayo ni shilini laki mbili!
 
kuna sehemu wanauza PC kisha wanakupa na printer bure zamtumba...nadhani ni kwenye laki mbili na themanini au chini ya hapo 80gB jaribu kuni PM nikupe namba ya simu kisha unipigie nikupatie maelekezo kama utakua interested
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom