Natafuta Pc game ya FIFA au PES nipo Kahama

mkweli wa mambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
329
Reaction score
180
Jamani mwenye haya ma game anijulishe nayatafuta kwa udi na uvumba, nimejaribu kudownload lakin sasa wiki ya pili hii hayajakamilika sababu sehemu nilipo (kahama) network kimeo.

Kwa yeyote aliyepo Mwanza au Shinyanga au Kahama na anayo haya ma game tujuzane hata hela ntampa.

Nawasilisha.

NB: Hata kama upo maeneo hayo niliyoyataja na una ma game ya aina nyingine usisite kuniambia.
 
Duuuh Kahama mbona sehemu nyingi net inasoma 3G mkuu..katika sehemu fresh mie hua naonaga hapo ni barida..natulia zangu stand nashusha vitu....
 
Jamani mwenye haya ma game anijulishe nayatafuta kwa udi na uvumba, nimejaribu kudownload lakin sasa wiki ya pili hii hayajakamilika sababu sehemu nilipo (kahama) network kimeo.

Kwa yeyote aliyepo Mwanza au Shinyanga au Kahama na anayo haya ma game tujuzane hata hela ntampa.

Nawasilisha.

NB: Hata kama upo maeneo hayo niliyoyataja na una ma game ya aina nyingine usisite kuniambia.
nina FIFA 14 ni pm.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom