moses ngete
New Member
- Mar 24, 2019
- 1
- 1
Mtaji WA kiasi gani unaotakiwa
JF nayo ck hizi ni kama FB imebaki watu wa siasa na Mapenzi. Mathalani ungeuliza "Mwanamke mnene na mwembamba yupi MTAMU au JIWE ameumbuka ...." ungepata reply 3k ndani ya 16 hrs ago. Lakini FOCUSED threads kama hii atleast 131 views and 9 replied ndo viwango vya juu.Mimi ni mtaalamu wa uchenjuaji madini ya dhahabu nipo maeneo ya geita/kahama zone. Nikiwa kama mtaalamu na mzoefu wa fani hii natafuta mshirika kwenye uwezo wa kifedha tuwekeze kwenye uchenjuaji madini.kwanza material tutayatoa kwa wachimbaji wadogo kwa kuangalia ore grade na kuweza kuyanunua if possible na kuyapeleka gold plant kwa kufanya ore benefication kwa kutumia chemical aids mbalimbali znazoitajikaView attachment 1052962
Sent using Jamii Forums mobile app
Lengo lako nikununua marudio ama uchimbaji.?Mimi ni mtaalamu wa uchenjuaji madini ya dhahabu nipo maeneo ya geita/kahama zone. Nikiwa kama mtaalamu na mzoefu wa fani hii natafuta mshirika kwenye uwezo wa kifedha tuwekeze kwenye uchenjuaji madini.kwanza material tutayatoa kwa wachimbaji wadogo kwa kuangalia ore grade na kuweza kuyanunua if possible na kuyapeleka gold plant kwa kufanya ore benefication kwa kutumia chemical aids mbalimbali znazoitajikaView attachment 1052962
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, unejieleza kwa vizuri ingawa kuna vitu vichache naona ume miss...Mimi ni mtaalamu wa uchenjuaji madini ya dhahabu nipo maeneo ya geita/kahama zone. Nikiwa kama mtaalamu na mzoefu wa fani hii natafuta mshirika kwenye uwezo wa kifedha tuwekeze kwenye uchenjuaji madini.kwanza material tutayatoa kwa wachimbaji wadogo kwa kuangalia ore grade na kuweza kuyanunua if possible na kuyapeleka gold plant kwa kufanya ore benefication kwa kutumia chemical aids mbalimbali znazoitajikaView attachment 1052962
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siyo mhusika. Mleta Uzi ndiyo mhusika but kwa uzoefu wangu ukiwa na 30million unafanyaMtaji WA kiasi gani unaotakiwa
Mleta uzi namfahamu yuko makini ana shahada ya minerals processing engineering toka chuo cha madini hadi sasa kweli ana uzoefu wa kutosha ktk uchenjuaji madiniMimi siyo mhusika. Mleta Uzi ndiyo mhusika but kwa uzoefu wangu ukiwa na 30million unafanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka jaribu kutembelea chunya kunafurusa hizi na utapata haraka maana huku kwetu wakemia ni adimuMimi ni mtaalamu wa uchenjuaji madini ya dhahabu nipo maeneo ya geita/kahama zone. Nikiwa kama mtaalamu na mzoefu wa fani hii natafuta mshirika kwenye uwezo wa kifedha tuwekeze kwenye uchenjuaji madini.kwanza material tutayatoa kwa wachimbaji wadogo kwa kuangalia ore grade na kuweza kuyanunua if possible na kuyapeleka gold plant kwa kufanya ore benefication kwa kutumia chemical aids mbalimbali znazoitajikaView attachment 1052962
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo mnakuja na shida zenu hapa mtu akiingia mnamtapeli mnampiga za kichwa pumbuvu wabango. Mbongo mwanaharamu.JF nayo ck hizi ni kama FB imebaki watu wa siasa na Mapenzi. Mathalani ungeuliza "Mwanamke mnene na mwembamba yupi MTAMU au JIWE ameumbuka ...." ungepata reply 3k ndani ya 16 hrs ago. Lakini FOCUSED threads kama hii atleast 131 views and 9 replied ndo viwango vya juu.
Anyway kuna sehemu nafanya study maeneo ya Mji wa Masumbwe kama wewe ni makazi wa Kahama utakuwa unapafahamu. Mambo yakisoma tuta tengeneza PARTNERSHIP DEED (a contract on contributions, Profit and Liability) tuongeze nguvu.
Sent using Jamii Forums mobile app